Boxer za kiume from Uturuki

Boxer za kiume from Uturuki

mgonjwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
514
Reaction score
223
1470908487156.jpg
1470908506375.jpg
1470908518020.jpg
BOXER SAFI NA NZURI ZA KIUME FROM TURKEY PURE COTTON ZIMEWASILI KWA BEI YA 6500 TU JIPATIE YA KWAKO SASA , KWA WALE MLIONUNUA MZIGO WA MWANZO MKATAKA ZINGINE MZIGO NDO UMEWASILI NILIPOTEZA SIMU NICHEK NIWALETEE , WA MIKOANI TUNATUMA KWA UAMINIFU KABISA
 
Waturuki unaweza ukaisaliti nchi yako! kama wao walivyo fanya
 
una za watoto wa miaka 7?
 
Mgonjwa ebu badili id yako bwana, unawez usipate wateja coz of ur id.

All in all huyu jamaa ni recommend kabisa ni muaminifu 100%
 
Dozen moja ni bei gani? Na zinakaa ngapi?
 
Th los proffcnal ndugu za watoto miaka 7 kama ana umbo kubwa zitamtosha medium size lakin kama mwili wake ni mdogo ni ngumu , unapatikana wapi ndugu kama dsm nikutafute nikuonyeshe kiongozi
 
Dozen kiongozi ma2mbo ni 6500 mara 12 ni 78000 mkuu lakini ukichukua hiyo idadi nutakufanyia elfu 6 kiongozi karibu sana , unapatikana wapi
 
Jerymsigwa ahsante kaka kwa ushauri nitafanya hivyo mzigo bado upo
 
Nipo dar es salaam kinondoni manyanya kiongozi
 
Chotera namba yangu nime ku Pm icheki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom