Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habar zenu wakuu, nauza printer ya color bei ni 550000/= call 0755661541
0 Reactions
1 Replies
898 Views
Samahani wana jukwaa naomba mnisaidie kwamba kati yaJiji la Arusha na Jiji la Mwanza wapi unaweza kupata laptop mpyaa kwa bei nzuri
0 Reactions
0 Replies
561 Views
Nauza line ya tigopesa mwenye kuhitaji anicheki PM bei 300,000 maongezi kiduchu
0 Reactions
6 Replies
1K Views
NAUZA LAPTOP AINA YA DELL RAM 4GB PROCESSOR ;Intel(R) celeron(R) 2957u SYSTEM TYPE:64-bit operating system HARD DISC:500 GB BEI NI 350,000/= HAINA HATA MCHUBUKO IKO VIZURI SANA KAMA UNAHITAJI NI PM
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Salaam..nahitaji kuprint bahasha za A4 na ndogo pamoja na files (case) kwa Logo ya ofisi...Kama kuna mtu anafanya hii pls nitext kwa namba 0689900000.Asanteni sana
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni mpya kabisa/brand new.!!! Details na Specifications zake ni kama ifuatavyo...!!! 1gb RAM, Dual Sim Card, SD Memory Card Slot, Bluetooth, Wi-fi, 2megapixel front/back camera, 16Gb storage...
0 Reactions
3 Replies
963 Views
Linapatikana ktk tarafa ya Lupembe mkoani njombe, Zipo hekali mia moja na hamsini na bei kwa kila heka ni tsh laki moja tu Kwa mahitaji wasiliana nami kwa simu namba 0764426929,0655726929 na...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Nipo dar alienayo anijuze. Bei isizidi milion 10
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Ndugu wanajamvi muishio morogoro natafuta Kiwanja cha makazi morogoro kwa mawasiliano zaidi 0752731391
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hello wana jf, kama kichwa cha habari hapo juu, nahitaji sehemu ya kilimo, nje kidogo ya dar es salaam, eneo kwa ajili ya mradi wa mboga mboga. Kama heka 1 hivi, nahitaji pawe na maji ya uhakika
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Heshima kwa wote. Nnarafikiyngu anatafuta pikpik aina San lg used kw mwny nayo naomb anitafute pm tuelewane bei.iwe katika hali nzuri isiwe imetumika zaidi ya miezi sita. Karibuni!
0 Reactions
3 Replies
908 Views
Kina ujazo wa sq 645 kina title deed mil40 tu 0654347423 sawasawa?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kiwanja chenye ukubwa wa sq metre 486 yani urefu 27 upana 18 bei ni 15 mill maongezi yapo kipo mita 900 toka ilipo stand ya daladala ya TABATA segerea hakijapimwa ukihitaji wasiliana nami kwa...
0 Reactions
1 Replies
839 Views
Meza ya kuwekea desktop computer sh 120,000 kiti cha ofisini sh 150,000/= wahi mapema kabla havijawahiwa.
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Natafuta nyumba ya Kuishi Mji mdogo Gairo vyumba viwili self contained tiles,fenced aluminium window water system tank reserve contact0654347423 ok?
0 Reactions
0 Replies
634 Views
Line hizo zinauzwa kwa bei nafuu. call 0656219778
0 Reactions
1 Replies
688 Views
Karibu ORIFLAME ujipatie bidhaa bora za urembo zitokanazo na mimea asili na matunda,hutojuta kutumia.. Tuna makundi manne ya vipodoz 1.) Skin care - hii inahusika na vipodoz vyote vya uson...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Rangi ni dark blue Internal memory 32Gb Ipo mwanza Bei 880,000 Imetumika mwezi 1 S 0787590694
0 Reactions
2 Replies
2K Views
3G Wifi Router. Bei 60,000/- unatumia na Modem yako. Karibuni PM
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom