Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Karibu ORIFLAME ujipatie bidhaa bora za urembo zitokanazo na mimea asili na matunda,hutojuta kutumia.. Tuna makundi manne ya vipodoz 1.) Skin care - hii inahusika na vipodoz vyote vya uson...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Rangi ni dark blue Internal memory 32Gb Ipo mwanza Bei 880,000 Imetumika mwezi 1 S 0787590694
0 Reactions
2 Replies
2K Views
3G Wifi Router. Bei 60,000/- unatumia na Modem yako. Karibuni PM
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Radio ya gari yenye video inauzwa 400, 000/= 0625 645166
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nafasi za masomo ya Pre – form one Uongozi wa (T.A.C) unawatangazia wazazi wote kuwaleta watoto wao waliomaliza darasa la saba ili kuwapatia mafunzo yatakayowaandaa kuanza elimu ya sekondari...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Salaam wana JF. Naomba mwenye uelewa wa maduka yanayouza kengele za getini. Kengele zenyewe ziwe za kuonyesha picha kwenye screen ambayo imeunganishwa na hiyo kengele ukiwa ndani. Kwa ambao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanaJf Nahitaji kujua bei ya mashine ya kujazia upepo WA tairi za magari na pikipiki kwa mashine new na used PIA.
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari zenu, heri ya Jumapili. Napenda kufahamishwa kwa mtu anaewajua mawakala wa kutafuta scholarshp abroad. Kuna siku niliona kipindi cha mahojiano ITV au Channel ten sikumbuki vizuri. Alikua...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ina support 4g Ram 2 gb Internal 16 Bei 280,000/=
0 Reactions
14 Replies
2K Views
​:peep: WAKUU HABARINI...NATAFUTA NYUMBA ILIYOJIFICHA MAENEO YA MIKOCHENI B,NYUMA YA TANESCO MIKOCHENI,MBEZI BEACH,,,NATAKA NIFUNGUE BIASHARA YA MASSAGE HIVYO NDO MAANA NATAFUTA NYUMBA...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Tupo mbeya., tuna jishughulisha na decoration za kwenye nyumba za kuishi., hotel n.K mfano wa sample zenyewe ni hizo zinazo onekana kwenye picha., Kwa mawasiliano Zaid nichek 0718930097., 0753422844
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ni aina ya SANYO BTU 12 HORSE POWER 1 Na robo. text 0755-544219 bei 900,000/= kila moja. zipo sinza
0 Reactions
5 Replies
1K Views
huu ndio mziki mnene CD700 utasugua au kusuguliwa mpk uombe poo.....kazi ni kwako.
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Xbox 360 na Playstation 3 zinauzwa. Zote ni used ila zipo kwenye condition nzuri sana. XBOX ni 380000 PS3 .....320000 Maongezi yapo. Kama uko interested piga,txt au watssap #0654890861
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Imetumika ila bado iko katika hali nzuri tu inatembea vizuri ingawa service nayo ni muhimu. Kama uko interested nichek 0713943432 npo dar
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari zenu waungwana wa jukwaa hili. Kama tangazo linavyojieleza, kimfaacho mtu chake. Nauza raba zangu mbili, nimezivaa kwa takribani mwezi mmoja. Zipo kwenye hali nzuri kabisa, size ni 10uk...
1 Reactions
37 Replies
6K Views
Its is Tanzania currency 1. Shilingi 5 of 1978 (Mbele ina Mwalimu Nyerere na reverse ina trekta) ni ya SILVER. 2. Noti ya Shilingi 100( Ina picha ya Masai ameshika mkuki, redio, ng'ombe na mbele...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Naomba mawasiliano kwa yeyote aliye wahi kusoma chuo cha selikali za mitaa hombolo Dodoma hivi karibuni.au kwa anaye kifahamu vizuri namba yangu ni 0752006344.
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Frem nzuri inapangishwa maeneo ya upanga karibu na chuo cha muzumbe bei ni 250000/= karibuni piga namba 0758975137
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom