Natafuta pick up

pick up toyota...ford..stout ukipata kwa iyo bei ni ngumu sana labda iwe imechoka choka mbadala wa pick up ni kirikuu ambayo unapata chini ya hapo Toyota au ford hata Stout zipo juu aisee...
 
image.jpg
Hii hapa mkuu, twende pm
 
ninayo hilux 2.8 double cab . Iko tegeta dar es salaam. Tuwasiliane kwa 0755815174
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom