Nipo ilala, nafika vip pande hizo, maana kisarawe najua lazima upitie goms, unless otherwiseNJOO NIKUKODISHIE ENEO mpakan mwa kibaha na kisarawe panaitwa musese ni center kabisa,maji kibao tena ya bure kuna jamaa kapga green house huku balaa za nyanya na ufuta,nicheki 0624078252 AU 0764726071
Bei ya kukodi ikoje? Na mazao gani maeneo hayo?NJOO NIKUKODISHIE ENEO mpakan mwa kibaha na kisarawe panaitwa musese ni center kabisa,maji kibao tena ya bure kuna jamaa kapga green house huku balaa za nyanya na ufuta,nicheki 0624078252 AU 0764726071
Padogo kwa kilimo angalau ingekuwa hekaeneo limebaki 37+37 mazao huku n matikiti,viazi,mihogo,karanga,kunde,mahindi. UFUGAJI PIA.
lipo shamba la kukodisha ruvu jkt wanakodisha kwa shs 80,000/= kwa hekali 1 na limeshalimwa ila unarudisha charge ya wale waliolima kwani wao wameghairi kulima msimu huu je unahitaji hilo nikupeleke?Hello wana jf, kama kichwa cha habari hapo juu, nahitaji sehemu ya kilimo, nje kidogo ya dar es salaam, eneo kwa ajili ya mradi wa mboga mboga. Kama heka 1 hivi, nahitaji pawe na maji ya uhakika
Gharama bei gani za kuwarudishia na wamepanda mazao gani.lipo shamba la kukodisha ruvu jkt wanakodisha kwa shs 80,000/= kwa hekali 1 na limeshalimwa ila unarudisha charge ya wale waliolima kwani wao wameghairi kulima msimu huu je unahitaji hilo nikupeleke?
nipe no mkuu tafadhalilipo shamba la kukodisha ruvu jkt wanakodisha kwa shs 80,000/= kwa hekali 1 na limeshalimwa ila unarudisha charge ya wale waliolima kwani wao wameghairi kulima msimu huu je unahitaji hilo nikupeleke?
Nipeleke dada hata kesho?lipo shamba la kukodisha ruvu jkt wanakodisha kwa shs 80,000/= kwa hekali 1 na limeshalimwa ila unarudisha charge ya wale waliolima kwani wao wameghairi kulima msimu huu je unahitaji hilo nikupeleke?
Njoo nikukodishie shamba ambalo lipo tayari limetifuliwa na kulimwa wewe unaanza kupanda mbogamboga zako unazo hitaji mkuu..lipo Bagamoyo Mtoni kwenye bonde la mto Ruvu na maji ni uhakika kutokana na mto ruvu
0713926364