Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ndg wanajamvi kwa yoyote anayefahamu bei ya vitotozi vya vifaranga naomba anijulishe vinauzwa kiuzwa kwa kiasi gani,maana nataka kuingia kwenye ujasiliamali wa ufugaji wa kuku.Pia nahitaji ushauri...
0 Reactions
0 Replies
776 Views
Natafuta mtu anayesafiri kwenda dubai. Nina mzigo mdogo huko dubai nahitaji uje Tanzania.
0 Reactions
1 Replies
669 Views
Heshima yenu wakuu....wapi naweza kupata hizi dvd za mazoez ya eurobics & body fitness??....msaada wenu kwa anaejua tafadhali
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Tumia virutubisho asilia ubaki na afya yako njema na ufurahie maisha:-kahawa hii ya reishi iliyotengenezwa na kampun ya bf suma haina caffeine. #inaondoa msongo wa mawazo. #inatoa uhuru wa...
0 Reactions
0 Replies
823 Views
Laptop aina ya hp inauzwa sifa zake ni:- RAM-2.00GB PROCESSOR-Intell celeron 1.5 GHz SYSTEM TYPE-64-bit OS HDD-500 GB Battery capacity 4Hrs Windows 10 Inteprise Bei 300,000/= kwa anayehitaji...
0 Reactions
0 Replies
769 Views
Kwa unaependa kujua format ya uandish wa cv pamoja na application letter nitafute kupitia wasup 0718742059 au kupitia email yohanawililo@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
813 Views
Bei Milioni 8 tu za Kitanzania mawasiliano 0714156689 Kibiashara zaidi tafadhali
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau heshima kwenu. Wapi naweza kupata DVD za mazoez ya Aerobic na mazoezi ya body fitness (elimu yangu ndogo sina hakika kama eurobics na body fitness huenda ni kitu kimoja) Nisameheni msianze...
0 Reactions
1 Replies
992 Views
Bei sh. Milion kumi, ukubwa sqm650, kina hati. Contact.0715500248
0 Reactions
0 Replies
699 Views
Kwa wadada na wakaka wanaojipenda na wanapenda kutumia vitu asilia,sabuni kutoka kampun ya BF SUMA -Anatic herbal soap ni sabun yenye maajabu,kwanza:- #inaondoa fangasi za kila aina mfano fangas...
0 Reactions
0 Replies
967 Views
10X10 MIL 1500000 10X15MIL 2200000 10X17MIL 2800000 KARIBU NA BARABARA KUBWA NA SHULE 20X20MIL 4 20X30 MIL 6 KARIBUNI VIPO VINGINE NI BEI YA KUTUPA KABISA TUWASILIANE CHAP HAUTOJUTA WANAWEKA...
3 Reactions
31 Replies
5K Views
Nipo Dar es Salaam nahitaji King'amuzi cha Azam kilichotumika. Tafadhari aliyenacho anitafute kwa namba 0717378462
0 Reactions
2 Replies
985 Views
Nahitaji mfuniko wa sehemu ya charge na line wa sony experia z2 kama huu kwenye picha 0715812160
0 Reactions
0 Replies
912 Views
Habar zenu... Yeyote aliye Mwanza na Anauza king'amuzi chake cha Azam anachotumia nyumbani anicheki PM nahtaji kununua NB: nahitaji king'amuzi Used sio kipya cha dukani. Asanteni
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu. Bei ya kawaida sio kali, mwenye nayo afunguke kabisa Nawasilisha
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Samahanini wakuu mwenye uelewa kuhusu HAMU MOVEMENTS anieleweshe wakuu
0 Reactions
0 Replies
968 Views
Wakuu kwa wale wanaotaka kufanya biashara ya Hosting na Domain Registration ,Tunauza server pamoja na Ordering System kwa bei nafuu, kwa yeyote anayohitaji tuwasiliane.Server ni unlimited Pia...
0 Reactions
1 Replies
702 Views
Nasikitika kutangaza kifo cha mwalimu willfred c kirumbuyo kilichotokea tarehe 23 8 2016 habari ziwafikie wanafunzi wa weru weru school lyamungo nk na ziwafikie wanafunzi wake mh rais john...
1 Reactions
0 Replies
962 Views
Hi all natafuta quality industrial washing mashine kg 18, 25-30kg, nimezunguka nimechoka hapa mjini. any one with any idea, kama naagiza where could I get trusted supplier best
0 Reactions
0 Replies
640 Views
Wakuu heshima kwenu. Nina m8 nahitaji gari zifuatazo kama utawezekana. Premio new model no. C au D. Raum new model no.Cau D. spacio new model no. C au D. Vitz new model no C au D. Zote hizo ziwe...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom