Habari za Leo!,
One Realtor Co. ni kampuni inayotoa huduma zinazohusiana na mali
zisizohamishika (Real Estate) Jijini Dar es Salaam na mikoa Jirani.
Tunapenda Kukutaarifu kwamba, kutokana na...
Kiwanja kipo kinyerezi mita 20 kutoka barabara ya lami inayoelekea ktk mitambo ya umeme wa gesi.
Ukubwa wake ni m40 kwa 35.
Bei Tshs mil 25 na mazungumzo yapo.
Simu 0715/0754/0783 472414
Kiwanja kinauzwa kipo Kinyerezi Kibaga ukubwa wa 35m kwa 45m kipo kando ya barabara ya lami kuekuelekea mitambo ya gesi mita 20.
Bei tsh mil 25 mazungumzo yapo.
Piga simu 0754/0715 472414
SHAMBA NA NYUMBA INAUZWA
0767 966 955
ENEO: Kimara baruti njia ya msikitini kutazamana na bahama mama petrol station
Ukubwa: eka 2
Nyumba vyumba 4 tu. anaweza ishi mlinzi vyumba 2 vinabaki...
Simu tajwa inauzwa Tshs 300,000/= tu. Iko ktk hali nzuri, 16 gb internal memory, na haina tatizo lolote. Ina screen protector ya kioo, back cover na charger. Nipo Dsm. Kama ungependa kuwa nayo...
Kutoka kwa lemutuz blog HIKI HAPA UNACHOHITAJI KUFAHAMU KUANZIA TECNO PHANTOM A+ MPAKA PHANTOM 6 ~ Blogu ya Wananchi
Tangu uzinduzi wa toleo la kwanza kabisa la TECNO Phantom, toleo hilo limepata...
Wadau
Kwa wenye migahawa & hotel, tunauza Sato waliokaangwa toka Mwanza.Samaki wetu wanakaangwa kulekule mda mfupi baada ya kuvuliwa hivyo wanabaki na radha yake ileile tofauti na hawa...
UPDATED: Kama unahitaji Spea zozote za kumpyuta kama display za laptop size zote (10.1," 14.0", 14.1", 15.6" etc) aina zote (LCD,Ultraslim na LED) Adapter za laptop aina zote na betri zake na spea...
Pata vitenge vya wax kutoka congo DRC piece 3 kwa TZS25,000
Tunapatikana Mbeya town,Tukuyu town
place your oder at 0767142928
whatsapp/text/call:0767142928
Kwa gharama ya Tsh 20,000/= tu utafanyiwa yafuatayo.
1.Utatengenezewa Blog ya Blogger(blogspot) au Wordpress,Chaguo ni lako.
2.Tunakufanyia:design katika blog yako na kukuwekea muonekano wowote...
Nauza shamba lipo katikati ya kiwangwa na wami ni km10 kutoka kiwangwa mjini.Lina ukubwa wa heka 50 na ninauza 1M kwa heka,nauza kuanzia heka 10 hadi heka 50.Linafaa kwa kilimo cha mahindi na...
Bado mpyaa nimepata dharula ivyoo naizu kwa sh 260000 fixed nilinunua Mwenge na risit ninayo kwa 300000
Ipo na kila kitu chake vingine at a Kwenye box sijawahi vitoa kama backcover na ear phone...
Kichwa cha thread chahusika!
Natafuta kiwanja maeneo ya Kimara, Mbezi au Goba, na maeneo yanayozunguka Salasala sio mbaya. Kiwanja kisiwe mbali sana na barabara kubwa ya lami. Bei isizidi million...