KIWANJA KINAUZWA(30 kwa 50) KIBAHA-TOWN

KIWANJA KINAUZWA(30 kwa 50) KIBAHA-TOWN

slmmfm

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2014
Posts
304
Reaction score
65
Kiwanja chenye ukubwa wa 30 kwa 50 kinauzwa kwa Tsh 13Mil(maongezi yapo).Kiwanja kipo maeneo ya kibaha-kwamfipa(centre ya mtaa) mita chache kutoka barabara kuu ya morogoro road. Location nzuri kwa makazi na biashara pia.
mawasiliano ni 0712801265.

KARIBUNI KIBAHA,
 
bei iko juu sana mkuu ukizingatia kwa mfipa sio eneo potential sana. Anzia nane mpaka saba ila uongeze nyama kama upatikanaji wa maji na umeme. Je panafikika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom