Drip System Kits Mpya Zinauzwa

Nkuba25

JF-Expert Member
Nov 18, 2015
2,341
13,021
Habari wana Bodi

Ninauza Drip System Kits Mpya.
Hizi Drip System zinatosheleza ukubwa wa shamba la ekari 3.5
Bei ni Milioni 3.
Kwa mawasiliano zaidi na majadiliano ni PM.

Asante
 

Attachments

  • Drip Irrigation Kits.docx
    352.6 KB · Views: 76
Kit moja ina urefu wa metre ngapi? Itatosha kumwagilia vitungu acre 3.5 kwa pamoja? kumbuka mstari hadi mstari ni sm 31
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom