Machine za kutotolea vifaranga

Jan 7, 2016
17
4
Godson pourty solution wanakuletea machine za kutotolea vifaranga (incubator) Za kuanzia mayai 42 mpaka 1056 machine ni zenye ubora wa hali ya juu na zina warranty ya mwaka mmoja tupo moshi mjini Barbara ya kwenda arusha kwa mawasiliano 0689350805 au 0621699422 karibuni

1475907487719.jpg
1475907428367.jpg
1475907356114.jpg
 
Godson pourty solution wanakuletea machine za kutotolea vifaranga (incubator) Za kuanzia mayai 42 mpaka 1056 machine ni zenye ubora wa hali ya juu na zina warranty ya mwaka mmoja tupo moshi mjini Barbara ya kwenda arusha kwa mawasiliano 0689350805 au 0621699422 karibuni
hii ya mwisho ni mayai mangap na ni bei gan???
 
Godson pourty solution wanakuletea machine za kutotolea vifaranga (incubator) Za kuanzia mayai 42 mpaka 1056 machine ni zenye ubora wa hali ya juu na zina warranty ya mwaka mmoja tupo moshi mjini Barbara ya kwenda arusha kwa mawasiliano 0689350805 au 0621699422 karibuni

Weka bei
 
Samahan kwa kuchelewa kujibu bei zetu ni kama ifuatavyo
Mayai 42ni 350000
Mayai 48ni 420000
Mayai 55ni 470000
Mayai 60ni 570000
Mayai 269 ni 1.5mil
Mayai 352 ni 1.7 mil
Mayai 440 ni 1.9mil
Mayai 528 ni 2.1mil
Mayai 880 ni 2.5mil
Mayai 1056 ni 3.0mil
 
Good explanation are they manual or automatic incubators? Can also support DC or AC as alternative source of power? Thanks.
 
Back
Top Bottom