CISA Mock Exam

Tarime natokea

JF-Expert Member
Jan 7, 2015
529
29
True Ink Associates itaandaa CISA Mock Exam itakayofanyika siku ya Jumamosi tarehe 28/05/2016 kuanzia saa 4 asbh hadi saa 8 mchana.
Hii ni kwa ajili ya kuwaandaa watahiniwa wanaohitaji kufanya mtihaniwa mwezi June ana September 2016.
Malipo ni 50,000/=
kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia 0713 451713 or 0764 978313.

karibuni wote
 
kesho ndo mwisho wa kupokea wanafunzi wanaohitaji kufanya mock CISA exam.
kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia 0713 451713 or 0764 978313.
 
wanafunzi walikuja almost 27..na mock imefanyika, naendelea kusahihisha kisha next jmosi tutafanya review....Ndugu yangu techman ulikuwa unasubiri watu waje ndo na wewe uje? kwa mtu aliye serious na anayejua anachokifanya anakuja bila hata kuambiwa...hapa natumia media tu kukumbushana na watalaam..
 
karibu ujiunge nasi uweze kutimiza ndoto zako.

kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia 0713 451713 or 0764 978313
 
Kesho tunamaliza Chapter IV na jumatatu ijayo tunaanza chapter ya mwisho ya V.. tumeanza kufanya registration ya darasa lijalo..
karobuni sana
 
Nafurahi kuwamjulisha kuwa kati ya wanafunzi wangu 12 waliofanya mtihani wa CISA June 2016 wamefaulu 8..na wanafunzi 3 waliofanya CISM, 2 wamefaulu..Najisikia furaha kama trainer..Hongereni wote mliofaulu..na karibuni wengine kwa darasa linaluoanza tarehe 25/7/2016..kwa mawasiliano nipigie 0713 451713
 
Darasa jipya la CISA litaanza siku ya jumatatu ya trh 25/07/2016 dsm city center.
nawakaribisha wote..

tupigie kwa 0713 451713 kwa ajili ya kuweka nafasi yako..karibuni wote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom