Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nilinunua friji yangu aina ya candy kubwa mtumba nikaiwasha kwa 3 month bila tatizo shida niliyoiona ni thermostat ilikuwa hijizimi na kuwaka kama nyngn, tatizo limejitokeza baada ya kuizima...
0 Reactions
9 Replies
648 Views
jipatie memory card zenye ubora wa hali ya juu kwa bei nafuu kabisa na upewe warrant ya miezi 12, 4gb-7,000 8gb-10,000 16gb-14,000 kwa wanaohitaji jumla na rejareja pia napatikana mwanza,mikoani...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Nahitaji Computer yenye Ram GB 8 nakuendelea kiufupi yenye uwezo mzuri iwe mpakato kwa matumizi upande wa Vidéo Editing.
0 Reactions
0 Replies
662 Views
Nahitaji Computer yenye Ram GB 8 nakuendelea kiufupi yenye uwezo mzuri iwe mpakato kwa matumizi upande wa Vidéo Editing.
0 Reactions
0 Replies
711 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wakuu,nahitaji kujua bei za tanks za kutunzia maji na ni tank gani ni bora kati ya Kiboko na Polytanks!!!
1 Reactions
3 Replies
6K Views
Wakuu kuna jamaa yangu anauza kiwanja chake tabata segerea kabla ya daraja la majumba sita kuria, kiko takribani meter 150 kutoka barabarani Hakina hati ukubwa ni kama 20 by 20 Kwa anayehitaji...
0 Reactions
1 Replies
993 Views
Kiwanja kinauzwa, kipo kibaha, eneo viziwaziwa, kinaukubwa wa 25 kwa 30 (mita), bei million 2 fixed. 0766120777
0 Reactions
0 Replies
859 Views
Infinity works, tunatengeneza madirisha, milango, partition za ofisi, maduka ya madawa, makabati kwa kutumia alluminium. Tumehamishia ofisi toka tegeta kwa ndevu kwa sasa tuko tegeta njia ya...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari. Nauza stand za tv na redio. Ni imara na zinastahimili uzito na zinapatikana dodoma west chinangali karibu na hijra au chama kubwa (ccm) kwa bei ya shilingi elfu 60 (60000) nitafute kwa...
0 Reactions
3 Replies
11K Views
Tunapangisha nyumba ya kujitegemea Arusha maeneo ya sekei ina kila kitu. Ina room 3 vikubwa moja ina dining, choo cha ndan, jiko, dining..0755661541.kodi ni 350000 kwa mwezi.
0 Reactions
3 Replies
816 Views
Heka 300 zipo eneo zuri lenye rutuba na maji bei Ni 25mil.mazungumzo yapo shamba lipo kitongoji cha lunyele,kijiji cha mtetema kata ya mpepo wilaya ya nyasa . Miji ya karibu Ni mbinga na...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Infinix X554
0 Reactions
0 Replies
664 Views
Kiwanja kinauzwa Eneo: kipo MWANZA- KISHIRI. Ukifika kishiri unashuka sehemu inaitwa Chadema, ukishuka ili kukikuta Kiwanja unatembea dk 15. Kiwanja...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naombeni msaada nitapata wapi machujio ya asali yanayoweza kuchuja asali fasta, kuna asali yangu hapa nimenunua ndoo nzima lakini siwezi kuichuja
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tecno C9 350000 Tecno j8 330000 Tecno c8 270000 Tecno pad8 11 370000 Tecno l8 plus 240000 Tecno w4 180000 Tecno w3 170000 Tecno w3lit 180000 Tecno y2 100000 Samsung j2 270000 Samsung j1ice...
2 Reactions
47 Replies
11K Views
Kiwe na Hati Natafuta Kiwanja kuanzia tangibovu hadi ununio nikimaanisha ukanda huu wa beach. Taja bei ya muuzaji upige hela kuliko kuweka bei za udalali Chenye ofa nzuri kitazingatiwa Call...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mwanzoni niliwahi kusema dawa ya kutibu nguvu za kiume duniani haipo, au ipo isipokuwa ni chakula tu na kuishi maisha bora ndio suluhisho pekee na msimamo wangu haukubadilika. Nilipoona...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari wakuu. Moja ya kazi za mwalimu ni kusahihisha(marking) na kupanga matokeo. Okoa muda wa kufanya zoezi hili kwa kutumia Ms excell iliyoratibiwa ambapo wewe utarekodi Jina na marks tu za...
0 Reactions
0 Replies
697 Views
Sasa unaweza pata WEBSITE &BLOG kwa Bei NAFUU. Utapata HOSTING ya mwaka na DESIGN ya uhakika kuanzia 150,000/= kwa mwaka mzima, tuna uzoefu wa kutengeneza WEB BASED SYSTEM na mobile Apps...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…