mwambunnyara
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 518
- 208
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wakuu,nahitaji kujua bei za tanks za kutunzia maji na ni tank gani ni bora kati ya Kiboko na Polytanks!!!
lita 1000 ni bei gani mkuu??Mi nilinunua juzi kiboko lita 3000 tsh 470,000/= lita 2000 tsh 270,000/= reference kama itakusaidia.