Butanyata
Member
- Jul 16, 2015
- 51
- 37
Habari za leo ndugu zangu. Nina mzigo wa spare ya TVS King ( wengi tumezoea kuziita Bajaj) aina ya Minor Kit (Rubber za Master) kama zilivyo zoeleka mtaani. Nina pieces 500 kwa sasa na nauza kwa bei ya jumla kwa sh 6,500 kila moja kwa order ya 10 mpaka 100 na zaidi ya 100 nauza kwa sh 6,000 kila moja. Mzigo umetokea India so ni spare original kabisa. Nipo Dar es Salaam Kimara Baruti. Kwa mawasiliano nicheki through gerald.kazinja@yahoo.com ama 0686477879. Karibuni