Msaada kwa mwenye utaalamu na mambo ya friji

Msaada kwa mwenye utaalamu na mambo ya friji

isley

Member
Joined
Sep 24, 2016
Posts
48
Reaction score
83
Nilinunua friji yangu aina ya candy kubwa mtumba nikaiwasha kwa 3 month bila tatizo shida niliyoiona ni thermostat ilikuwa hijizimi na kuwaka kama nyngn, tatizo limejitokeza baada ya kuizima ikapoteza gesi fundi kaja kaweka system yake ya paip ndan uwezo ndio ukapungua kwenye kugandisha na ukiizima inapoteza gesi, nimemtumia fund huyo three tyms bila mafanikio. Je naweza kurudisha kama awali kwa kutumia fund mwngn? Na kama ni leakage je kuna mafundi? Au nisitengeneze tena.
 
Nilisafiri kama mwezi mmoja hivi na nilipokuja kuiwasha ubaridi ukawa mdogo sana na kwenye freezer haigandishi
 
Compressor ikawa inapata moto pia sana ndio nilipogundua ni shida
 
Hapo sawa mkuu
Compressor kupata joto sana inawezekana ni tatizo lakini halichangii kwa kiasi kikubwa kushusha kwa kiwango cha kugandisha.Kama friji yako haina mfumo wa kupoza compressor kama fen,maji hakikisha hewa ya kutosha inapita huko kwa ajili ya kupoza.
Gesi kutoka kwenye mfumo wake inachangiwa sana na matumizi yetu kama kubandua barafu zilizoganda kwenye pipe au plate kwenye chumba cha kupoza,....kurudishwa kwenye mfumo wa awali,kuziba leakage inawezekana pamoja na thermostat.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom