matobholo
Senior Member
- Sep 21, 2016
- 106
- 100
Hbr za majukumu wadau, nina mpango wa karibuni wa kununua water pump kwa ajili ya kurahisisha Kilimo cha umwagiliaji, nalima ekari 2, chanzo cha Maji ni mto.
Mtu mmoja akanishauri nianze na water pump aina ya Zec, mwingine akanishauri ninunue King max zote za petrol.
Nilienda kuzunguka kufanya window shopping nikakuta kuna hadi honda ya petrol.
Naomba msaada wajuzi na wazoefu, ninunue waterpump ya aina gani na horse power ngapi.
Nina bajeti ya laki 6 kwa pump na mpira wake. Karibuni sana.Nashukuru kwa msaada wenu