Unahitaji paving bricks ?

hibiscus interior

JF-Expert Member
Jan 13, 2016
1,168
595
tunatengeneza paving brick kwa tsh. 150 na kuzipanga kila moja kwa tsh. 150 gharama hiyo pamoja na landscaping na mashine ya kushindilia (compactor machine) tufollow instagram hibiscus interior desgner.

Tupo Mwanza.

WhatsApp 0756181677
1452684294464.jpg
1452684305995.jpg
1452684318141.jpg
1452684331900.jpg
1452684359720.jpg
1452684375730.jpg
 
Inamaana mnajenga sq"1 kwa 7500..loh!!!!huku kwetu tunajengewa kwa 3500 tu.
 
Nb. Paving tulizonazo squar metre moja zinaingia 35
35 Blocks x Tshs 150 = Tshs 5,250

Blocks Tshs 5,250/=
Kujenga Tshs 5,250/=
Jumla Tshs 10,500/= per Mita Sqr

Tuseme Baraza lina Urefu 10Mita x Upana 10Mita = 100Mita Sqr
Kwa Hiyo 100Mita Sqr zitahitajika Tshs 10,500 x 100 = Tshs 1,050,000/= gharama za vigae na upangaji.
 
35 Blocks x Tshs 150 = Tshs 5,250

Blocks Tshs 5,250/=
Kujenga Tshs 5,250/=
Jumla Tshs 10,500/= per Mita Sqr

Tuseme Baraza lina Urefu 10Mita x Upana 10Mita = 100Mita Sqr
Kwa Hiyo 100Mita Sqr zitahitajika Tshs 10,500 x 100 = Tshs 1,050,000/= gharama za vigae na upangaji.
Asante uko vizur
Ndivyo hivyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom