Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

K.n.y bizplan Nauza toyota starlet yenye sifa hizi. 1.Displacement: 1330 cc 2.Colour: Dark Blue 3.Model: Toyota Starlet Carat 4.Mileage: 20,000 5.Rims: Sports 6.Transmission: Automatic...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Vitu vinauzwa kwasababu aliyekuwa anavitumia ni mwanafunzi na kwasasa amemaliza masomo yake.Vitu hivyo ni vifuatavyo:- Kitanda cha 3×4 Dressing table Jiko la gesi(mtungi mdogo wa mihan gas)...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Hbr zenu wananchi wa JF, natumaini kwa uweza wake Maulana hatujambo. Kama bango linavyojieleza, nauza gari aina ya Toyota Starlet. Imelipiwa vibali vyote na ipo kwenye hali nzuri kabisa...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Tani 3 Manual Diesel Engine :4D35 Gia 6 Long chasis Bomba unaekewa 0689315582
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Bei yake ni 4.5m, ipo vizuri haina tatizo lolote. Ipo Dar es salaam. Ukihitaji kuiona physical niPm
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Misimu ya ligi za soka ndio hio imeanza Pata channel 4 za soka bure kwaajili ya kuangalia ligi kubwa duniani yaani English Premier League(EPL), Spanish LALIGA, Bundesliga, Serie A, French Ligue 1...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Jipatie soft copy ya vitabu ambavyo vitabadili maisha yako kwa ujumla na kukufanya uonekane MTU ndani ya watu....
1 Reactions
2 Replies
934 Views
Habari wakuu,nahitaji kiwanja maeneo ya kigamboni hususani kisiwani,ukubwa kuanzia 20 kwa 20,bajeti yangu 2.5M - 3.0M,Mwenye nacho tuwasiliane,kwa namba 0621003284. Dalali haitajiki.
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Nauza simu ya TECHNO-J5 tshs. 125,000/ iko ktk hali nzuri, charge zaidi ya 24hrs, internal memo 16gb, ram 1gb, android version 5.1. Bonus nakupa earphone na charger...cal watapp or text kwa Namba...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Godson pourty solution wanakuletea machine za kutotolea vifaranga (incubator) Za kuanzia mayai 42 mpaka 1056 machine ni zenye ubora wa hali ya juu na zina warranty ya mwaka mmoja tupo moshi mjini...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
The plot has a fence build, it located next opposite to the House of Representative as shown in the map, It is 480 SQ M, It is 1 KM from the Zanzibar Air Port, it is 700 meters from the beach...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hello, The Field plot for sale in the New developing town of Zanzibar at Fumba, it is 27389.00 SQM, its 5 KM from the Zanzibar Airport and its 4 KM from the industry of Bakhresa at Fumba, its 100...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kiwanja chenye ukubwa wa 30 kwa 50 kinauzwa kwa Tsh 13Mil(maongezi yapo).Kiwanja kipo maeneo ya kibaha-kwamfipa(centre ya mtaa) mita chache kutoka barabara kuu ya morogoro road. Location nzuri kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nissan Extrail inauzwa bei nzuri 12 ml tu. Gari haijapata ajali, na imetumika kidogo tu, kuania imenunuliwa nilikua masomoni nje ya nchi kuiona piga simu namba 0715803040 au 0767454455
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari wana Bodi Ninauza Drip System Kits Mpya. Hizi Drip System zinatosheleza ukubwa wa shamba la ekari 3.5 Bei ni Milioni 3. Kwa mawasiliano zaidi na majadiliano ni PM. Asante
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Tukio la uzinduzi wa kuuzwa kwa Phantom6 mara ya kwanza, ulinakishiwa na wasanii walioonesha vipaji vyao vya uchoraji wa taswira mbalimbali ikiwemo ya msanii Alikiba akiwa ameshika simu, jambo...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
MULTI MACA KWENYE KUTIBU TATIZO LA NGUVU ZA KIUME NA UZAZI KWA WANAWAKE NA WANAUME. Ukisoma historia ya dunia, miaka 2000 iliyopita huko nchi ya peru ya marekani ya kusini, wanawake na wanaume...
0 Reactions
2 Replies
20K Views
Natibu matizo ya pumu au asthma kwa siku 25 tu na pia natoa ushauli juu ya matatizo ya miguu kuwaka moto na ganzi mwilini napatikana mbeya kwa wanaotaka dawa ya pumu anipigie kwa namba 0752093410...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
350 TU.... used almost a year... anaetaka 0799363620 au pm
0 Reactions
7 Replies
1K Views
We provide consultation services for Residence Permits, Passport Application, Dependent Pass, Visitor and Re-Entry Pass, Real Estate (leasing and buying, short term and long term rentals), Travel...
2 Reactions
2 Replies
760 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…