chichiboy1
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 1,401
- 1,892
Haihitaji dalali bei miln 13
Toyota Noah Namba B inauzaHiyo si bei ya used kutoka japani?
Used ya hapa hiyo bei ni kubwa sana ila siku ukiwa tayari kuuza nambie nikupe 8ml
Tatizo udalali mkuuM13? Hiyo pesa yard unagombaniwa usawa Huu wa JPM. Anyway Jaribu bahati yako
MKUU UNAKUTA MTU ANAKWAMBIA SIHITAJI DALALI WAKATI YE MWENYEWE NI DALALI...NI BORA UWEKE BIASHARA YA WAZI TU.Tatizo udalali mkuu