Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

African capital ni taasisi inayohisika na utoaji wa mikopo kwa watumishi/ wafanyakazi wa serikali. Ni kwanzia laki mbili mpaka million kumi na malipi ni miezi sita mpaka miaka mitano. Riba mi 18%...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nahitaji air compressor yenye piston moja ambayo imetumika budget yangu Tzs 100,000. Kama unayo na umeridhika na budget yangu basi nitonye kwa kunitumia ujumbe binafsi
0 Reactions
0 Replies
676 Views
African capital inatoa mikopo kwa wafanyakazi wa serikali dar es salaam kwanzia laki mbili mpaka million kumi na tunanunua madeni. Riba ni 18% kwa mwaka na malipo ni ndani ya miezi sita mpaka...
0 Reactions
1 Replies
753 Views
Simu yenyewe ni CONDOR C 6 , ni simu ambayo nzuri niliyokuwa naitumia sasa imeanguka imeweka nyufa display yake. Nawauliza wanaofahamu ni wapi kwa hapa dar nitapata display yake, au simu yenyewe...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jaman habari zenu, ningependa kukuzwa juu ya complete amount ya music mkubwa wa masherehe.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Unganisha hadi vifaa 10 kwa pamoja. Smart TV/Smartphones/PC/IP-CCTV Cameras/tablets etc. Bei: 60,000/-
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ukiwa na swali nicheki kwa namba 0712823601,nimeattach ramani ya kiwanja kilivokaa,huduma ya umeme na maji inapatikana.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Solar submersible pump inauzwa, Voltage 24VDC' amps4.0max florate 6L/1.6GMP maximum submersible 100ft(30M) bei 300,000Tsh
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini za leo wanajamii forums, nina kiwanda cha kukamua mafuta ya Alizeti ni kipya na kipo kwenye jengo jipya kabisa katika kijiji cha shelui wilaya ya Iramba mkoani Singida ambapo ni maarufu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana Jamii kama kichwa cha habari kinavyojieleza nauza Laini za uwakala za Tigo pesa Laini ambayo haijawahi kufanya Transaction yeyete kwahiyo usiwe na hofu kwa bei nafuu bei ni Maelewano...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
habari zenu jamn me naitaji TV used ya kununua Niko dar es salaam iwe ya chogo sio flat screen naombeni msaada wenu kufanikisha
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habari zenu jamn me naitaji TV used ya kununua Niko dar es salaam iwe ya chogo sio flat screen naombeni msaada wenu kufanikisha
1 Reactions
3 Replies
793 Views
Nichek kwenye no 0759865185 /0769085765 kwa gari used popote ulipo. TUNAPATIKANA KAHAMA -SHINYANGA
2 Reactions
102 Replies
21K Views
Hii htc ilikua mpyaa inauzwa bahati mbaya nikaiangusha na kuipa crack kidogo,hiyo crack ipo kushoto chini ukiaangalia vizuri hizo picha utaiona,nimeitumia wiki tu. napatikana dar Bei:250,000Tsh...
0 Reactions
3 Replies
836 Views
Heshima kwenu wadau wa jf. Jana nimedondosha simu yangu. Natafuta mdau anayeweza kuniuzia simu kwa bei hyo 250000. Isiwe tekno,huawei. Ila sony,sumsung,htc zitapewa kipaumbele.napatikana mwanza...
0 Reactions
5 Replies
588 Views
natafuta vifaa vya kutengenezea chack hasa model anaye jua wapi naweza zipata tafadhali tujuzane kwa 0765310077, nipo kanda ya ziwa Magu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kutoka kwa Millard AYO Kaa tayari kwa dili lingine kubwa kutoka TECNO - millardayo.com Kampuni inayoongozwa kwa kuuza simu bora na imara kwa bei nafuu, Tecno kila siku wanaumiza vichwa...
0 Reactions
0 Replies
648 Views
Habarini za leo wanajamii forums, nina kiwanda cha kukamua mafuta ya Alizeti ni kipya na kipo kwenye jengo jipya kabisa katika kijiji cha shelui wilaya ya Iramba mkoani Singida ambapo ni maarufu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
price:450,000Tsh 0673206639
0 Reactions
5 Replies
889 Views
Back
Top Bottom