Kaa tayari kwa dili lingine kubwa kutoka TECNO

TECNO Tanzania

Senior Member
Jul 6, 2016
192
216
Kutoka kwa Millard AYO Kaa tayari kwa dili lingine kubwa kutoka TECNO - millardayo.com

Kampuni inayoongozwa kwa kuuza simu bora na imara kwa bei nafuu, Tecno kila siku wanaumiza vichwa kuhakikisha kwamba una sababu kibao za kuendelea kufurahia bidhaa za huduma zao. Baada ya kukuletea simu kali mbili zilizotoka kwa mpigo, Phantom 6 na Phantom 6 Plus ambazo zimekuja kuteka soko la simu zikiwa na prosesa kali, kuchaji kwa haraka na moja ikiwa na Kamera mbili.
TheNextBigThing1.jpg


Sasa Tecno wanachokuletea kingine kipya cha aina yake, tetesi zilizopo ni kwamba hili ni dili litakalowawezesha wateja wake kukwea pipa kwenda majuu. Kwenye soka kuna nyakati mbili, kuna msimu wa mpira na wakati wa kusubiri msimu wa mpira. JE, UKO TAYARI KWA JAMBO KUBWA KUTOKA TECNO? [HASHTAG]#TheNextBigThing[/HASHTAG]

TheNextBigThing2.jpg


Unachotakiwa kufanya ni kukaa karibu na mitandao ya kijamii ya Tecno Mobile Tanzania kufahamu jambo hili kubwa ambalo linakujia ndani ya siku chache zijazo.

Facebook: TECNO Mobile | Facebook

Instagram: TECNO Mobile Tanzania (@tecnomobiletanzania) • Instagram photos and videos

Twitter: TECNO Mobile TZ (@TECNOMobileTZ) | Twitter
 
Back
Top Bottom