Nitapata wapi display ya simu hii hapa Dar.

ibesa mau

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2015
Posts
2,109
Reaction score
1,705
Simu yenyewe ni CONDOR C 6 , ni simu ambayo nzuri niliyokuwa naitumia sasa imeanguka imeweka nyufa display yake. Nawauliza wanaofahamu ni wapi kwa hapa dar nitapata display yake, au simu yenyewe aina hiyo naweza kupata maeneo gani kwa hapa Dar.
 
naomba nifahamisheni jamani kwani tangu ianguke nakosa raha
 
Simu yenyewe ni CONDOR C 6 , ni simu ambayo nzuri niliyokuwa naitumia sasa imeanguka imeweka nyufa display yake. Nawauliza wanaofahamu ni wapi kwa hapa dar nitapata display yake, au simu yenyewe aina hiyo naweza kupata maeneo gani kwa hapa Dar.
Badala ya kuhangaika na display kanunue tu mpya.
Nenda Mobile plaza pale kariakoo
 
Back
Top Bottom