Nunda, mcheki Ubuntu ana cm unayotaka kwa bei unayotakaHeshima kwenu wadau wa jf. Jana nimedondosha simu yangu. Natafuta mdau anayeweza kuniuzia simu kwa bei hyo 250000. Isiwe tekno,huawei. Ila sony,sumsung,htc zitapewa kipaumbele.napatikana mwanza. Karibuni
Yeye ana duka au second hand?Nunda, mcheki Ubuntu ana cm unayotaka kwa bei unayotaka
Heshima kwenu wadau wa jf. Jana nimedondosha simu yangu. Natafuta mdau anayeweza kuniuzia simu kwa bei hyo 250000. Isiwe tekno,huawei. Ila sony,sumsung,htc zitapewa kipaumbele.napatikana mwanza. Karibuni