Nauza ubuyu wa embe ambazo zimekaushwa na kupikwa kama ubuyu ni mtam sana kwa anaehitaj 0654695943 Tabora. Jumla na rejareja kwa bei nafuu sana 1000 kwa 500
Kwa mikoa ya Mwanza, Geita, pia Kahama, Nzega n.k
Kama unataka senene wailokaangwa kwa jumla ni PM
Nauza kuanzia nusu ndoo (lita10), ndoo nzima (Lita 20) na kuendelea
Bei nusu ndoo ni Tsh...
Tunatoa mikopo kwa wafanyakazi wa serikali dar es salaam kwanzia laki mbili mpaka million kumi na tunanunua madeni. Huitaji dhamana wala mdhamini, riba ni 18% kwa mwaka na malipo ni ndani ya miezi...
Shamba Lina Ukubwa Wa Ekari Tano Na Nusu.
Lipo Msata Mita Chache Kutoka Barabara Iendayo Tanga Na Pia Mita Chache Kutoka Barabara Iendayo Bagamoyo. Ni Eneo Zuri Hasa Kwa Wenye Lengo La Uwekezaji...
Gari Kluger new model ya 2012 inauzwa ni namba DEF picha hiyo ni kabla haijawekwa namba bei 60m maongezi yapo dalali hatakiwi ukitaka tuwasiliane ni PM
Habari,wakuu!,
kama unahitaji kuwa na library ya vitabu nyumbani kwako,hii ni Taarifa nzuri kwako!,ni jambo jema kwa mtu anaependa na kutambua umuhimu wa kusoma nyumbani kwake yeye na familia...
PICHA: HOTELI MPYA TANZANIA, WATEJA HULIPA SHILINGI MILIONI 22 KWA USIKU MMOJA. BURUDANI - AUGUST 29, 2016-
Hoteli hii iko katika kisiwa cha Thanda kusini mwa Tanzania. Ina vyumba 5 vya kulala...
Wakuu nimejichanga kidgo niweze kupata hela ya kula huku nakusanya mtaji kwa ajili ya kikubwa zaidi.
Ni biashara ya kukaanga na kuuza chipsi barabarani. Kuna dogo nimempata kwa ajili ya...
Jumba hilo lipo Mbezi Juu si mbali toka barabara iendayo Bagamoyo.
Jumba halijakamilika.
Upande wa mashariki wa jengo hilo una nyumba tatu ambapo kila nyumba ina chumba cha kulala chenye choo...