Unahitaji kiwanja? Pita hapa uchague.

Master of the game

JF-Expert Member
Sep 1, 2016
4,712
2,000
Kama mnavyofahamu kutokana na hali ilivyo watu wengi wameamua kuuza asset zao ili kutatua changamoto zao, vifuatavyo ni baadhi ya viwanja ambavyo navifahamu vinauzwa. Kama na wewe unacho chako na unahitaji kuuza usisite kukiweka hapa wadau wakione.
1.Beach plot mbutu Kigamboni, Sqm 1445 bei milioni 50.
2.Bunju kinondo ukubwa 20×40.pamoja na tofali 600 na gari moja ya mchanga, bei milioni 8.
3.Madale msigani 20×20 bei milioni 7.
4.Mbezi Luis, nusu heka bei milioni 35
5.Kibamba karibu na Muhas, 20×30 bei milioni 12.
6.Kibamba kwembe 35×30 bei? milioni 7.5
7.Geza ulole 1400m² Bei milioni 30.
Mbezi Kibamba heka 3 karibu na muhas bei milioni 38
8.Goba 24×25 bei milioni 7.5.
9.Goba mpakani na Tegeta 25×20 bei milioni 10
10.Kisarawe A. Dakika 15 kutoka Pugu na gari. Vipo viwili 687m² bei yake 7M na 695M² bei 7.5.
Nitafute kupitia 0689699704 nikupeleke ukakague na mazungumzo utafanya na mwenye mali na sio dalali.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom