Jamani, kwa wanaohitaji, ninauza kuku wa mayai (Layers) ambao wana umri wa mwaka mmoja na wanataga. wapo mia mbili. kwa anayehitaji tuwasiliane 0784 686575. ni lazima uchukue wote 200 kwa wakati mmoja
mkuu picha nitatuam kesho, ninazinagalia kwenye simu hapa sinazoUngetuma hata picha ndugu ya hao kuku
mkuu picha nitatuam kesho, ninazinagalia kwenye simu hapa sinazo
Jaman picha zao plzJamani, kwa wanaohitaji, ninauza kuku wa mayai (Layers) ambao wana umri wa mwaka mmoja na wanataga. wapo mia mbili. kwa anayehitaji tuwasiliane 0784 686575. ni lazima uchukue wote 200 kwa wakati mmoja