Gulio Blog JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 3,056 Reaction score 4,124 Dec 18, 2016 #1 Naombeni mnisaidie hata kwa taarifa tu kama naweza kupata konyagi au viroba kwa bei ya jumla huko dar kwa ambaye anafahamu.
Naombeni mnisaidie hata kwa taarifa tu kama naweza kupata konyagi au viroba kwa bei ya jumla huko dar kwa ambaye anafahamu.
saimon111 JF-Expert Member Joined Apr 5, 2012 Posts 1,736 Reaction score 1,359 Dec 18, 2016 #2 Konyagi kubwa (bapa) 6000 nenda kwa wauzaji wa jumla
Sinoni JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 7,045 Reaction score 12,537 Dec 18, 2016 #3 Nenda kwenye maduka ya vinywaji utapata kwa bei nzuri sawa na bure,..