Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nahitaji Brand new SSD external hard drive for pc ya 1TB aina ya seagate au sandisc,naomba kama kuna mtu anauza ajitokeze tubonge please!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kinauzwa bei gani eti nimeambiwa ni elfu 70
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama Tangazo linavyosomeka hapo juu shamba linauzwa ekari 60, bei ni shilingi million 5.5 kwa kila ekari lipo sehemu nzuri na pia hati zote za umiliki zipo na pia linafaa kwa shughuli nyingi kama...
0 Reactions
0 Replies
827 Views
J
0 Reactions
1 Replies
678 Views
Kiwnja kinauzwa ukubwa ni 20×20 milion 13. Kipo sehemu nzuri Goba kinzudi,usukumani. Hakina dalali karbuni sana 0712-405818
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Kiwanja kinauzwa madale ,ukubwa 625sqm...kipo barabarani.Anaehitaji ani pm.
0 Reactions
1 Replies
720 Views
Passo nzuri Piston 3 Cc 990 Model 2006 Full ac Full vibali Bei ni 5300000 Maelewano yapo Tigo 0718017711 Voda 0743553553
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Less wig hiyo kwa sh 80000 ni handmade lesswig weka order yako kwenye 0654193108 Tunatuma mkoa wowote tanzania kwa gharama za mteja Dar free delivery
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Less wig hiyo kwa sh 80000 ni handmade lesswig weka order yako kwenye 0654193108 Tunatuma mkoa wowote tanzania kwa gharama za mteja
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana JF.Ni matumaini yangu mu wazima wa afya. Napenda kuchukua fursa hii kuwahabarisha wana jamvi kwa yeyote mwenye uhitaji wa Nyumba/vyumba/viwanja/mashamba na frame za kupanga Dodoma...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Uzoefu wenu unahitaji upatikanaji wa vitambaa, zipu, nyuzi na vitu kama hivyo. Pia spear za bicycles upatikanaji na bei zake. Tafadhali msaada waugwana
0 Reactions
2 Replies
1K Views
HP Compaq 6515b. hdd 80gb. ram 2gb. procssa 1.8 ghz DUAL CORE (1.8x2= 3.6 GHZ) wireless. bei 350,000. anaehitaji ani PM
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa ndugu zetu wakati wa Bukoba. Bei ya cement Bukoba kwa Jumla inafika bei gani?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Click the link to view. http://www.zoomtanzania.com/cars/2000-toyota-carina-307937?Preview=1
1 Reactions
0 Replies
639 Views
Habari wana JF nataka machine ya kukamua mafuta ya alizeti for small scale industry nasikia mashine nzuri zinatoka india sababu zina uwezo wa kukamua mafuta kwa 100% je kuna watu wanaziuza hapa...
0 Reactions
17 Replies
12K Views
Habari wanajamvi...... A&Z Media company tunahusika na shughuli za upigaji picha katika shughuli mbalimbali na hata picha za kawaida tuu kwa wale wanaohitaji. Pia tunahusika na video productions...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
3 bedrooms (one self contained), kitchen, Sitting/Dining room, Bathroom, Public toilet. Nje kuna parking gari 2-3. Nyumba iko ndani ya uzio mkubwa - Kodi 250.000 kwa mwezi. Kwa mawasiliano...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
ST.JOSEPH UNIVERSITY ANNOUNCEMENT OF VACANCIES IN THE DEPARTMENT OF PHARMACY The St. Joseph University in Tanzania (SJUIT) invites applications from qualified and experienced Tanzanians to fill...
2 Reactions
0 Replies
635 Views
Camera mpya kwa photographers professional any one interested aje Pm
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Ni kitanda kiunazwa na godoro lake kipo Msewe Golani bie laki saba Godoro na kitanda vyote ni vipya..unalala fofofo kabisa. Kwa mawasiliano namba hizi hapa 0782019269
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…