Kwa mahitaji ya Nyumba/vyumba/viwanja/Mashamba Dodoma Mjini

Jan 18, 2017
77
12
Habari wana JF.Ni matumaini yangu mu wazima wa afya.
Napenda kuchukua fursa hii kuwahabarisha wana jamvi kwa yeyote mwenye uhitaji wa Nyumba/vyumba/viwanja/mashamba na frame za kupanga Dodoma Mjini tuwasiliane.(PM)/contacts below.

Pia kwa uhitaji wa mashamba/viwanja au nyumba za kununua pia naomba tuwasiliane.

Huduma ni za uhakika, pia hakuna milolongo ya madalali wa usumbufu. Huduma zetu ni kulingana na bajeti ya mteja.
Mawasiliano zaidi 0714140579 or 0621002367
 
Huko kuna CDA full mautaratibu, milolongo, michakato, taratibu na sheria za kufuata...yaani ni shida tu.
 
Back
Top Bottom