Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wana JF mwenye kiwanja Goba chenye Hati tu tutafutane PM. Minimun sqm ni 1000 Maximum sqm ni 2000. Bei tutaelewana lakini iwe reasonable.
0 Reactions
3 Replies
803 Views
Habari. INAPANGISHWA: Ni vyumba 2 (Viwili) kati ya hivyo kimoja ni Masta, Yenye Sebule kubwa na Jiko Lake pamoja na Choo cha Nje kwa Wageni. Nyumba ina Sakafu ya Tiles, Ceiling ya Plywood na...
0 Reactions
2 Replies
650 Views
Habari zenu waungwana? Nauza Toyota Caldina ya mwaka 2002 Ukubwa wa Engine Cc 1990 Kilometa elfu 63,000 Rangi ya Gari Pearl white Namba ni DFT Ipo katika hali nzuri sana bei milion 9.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari, Taarifa njema kwa wanachama na ambao wanatarajia kujiunga, MoonAfricanLight inatoa fursa pekee kwa watu 50 wa kwanza watakao wahi, ambao watalipa tsh 30000/ tu watasajiliwa na kuwa...
0 Reactions
0 Replies
528 Views
Solar zenye ubora wa hali ya juu kwa gharama NAFUU ZAIDI. TUPO SINZA KWA REMY. WASILIANA NASI 0714373488/0762246488/0784232526 INSTAGRAM @snlsolarltd
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Bestates Properties Contact: 0786157788 kinauzwa • TSh milioni 185 • kijichi, kata ya Mtoni Kijichi Wastani wa ukubwa ni 900sqm • kina leseni ya makazi • kina nyumba ya vyumba 4 vya kulala na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nahitaji korosho kwa wingi. Korosho ambazo zishabanguliwa, zile nyeupe na ambazo hazijachanganywa. Packaging ziwe katika kilo moja moja... Nipo Dar... Kama unazo kuja inbox
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nayasema hayo kutokana taarifa ya FAO kuhusu hali ya ukame ilivyo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF Nataka Supply wa Dagaa wa mwanza aliyetayari kuniuzia, nipo Dumila na Temeke Dar es salaam Karibuni.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nasambaza dagaa safi kutoka Mwanza kwa jumla na reja reja pia mkoani ninatuma. Kwa mwenye kuhitaji ani pm.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Karibu Autoguru workshop ujupatie kitanda cha double decker kwa bei nafuu ya sh 480000 tu. Tunapatikana Kinondoni Manyanya mkabala na msikiti wa BAKWATA mtaa wa Brazil. Tuwasiliane kwa namba...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wadau habari zenu, Natafuta spare za ford escape, kwa mtu anaejua zinapatikana wapi au alienazo naomba anisaidie. Natafuta shockups, clutch plates,
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wakuu Habari za huku? ni wazi kuwa upatikanaji wa microcontroller Ni changamoto hasa kwa wanafunzi na hobysist wanaotaka kuautomate vitu/shughuli mbalimbali! Lakini sasa ondoa shaka kwani Sasa...
0 Reactions
1 Replies
757 Views
Deleted
0 Reactions
4 Replies
712 Views
Jipatie Unlock code kwa Tshs.7000 Huawei Ascend Y220 Y221 Y320 Y321 Y360 Y511 Y520 Y600 G500 Vodafone Smart VF695 V695 V785 VF795 V795 V200 VF300 Kwa mawasiliano piga 0757426730 tembelea TOP...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
ZANZIBAR EXCUSION 5 DAYS Day 1: Arrive Zanzibar transfer to stone town, check in at Zanzibar grand palace hotel. after check in stone town and Spice tour back hotel. Day 2: after breakfast check...
1 Reactions
0 Replies
927 Views
Perfumes nzuri za kike na kiume ambazo zimewekwa kwenye seti maalum yenye kila kitu yaani sabuni, lotion, poda, aftershave balm kwa wanaume, perfume na spray. Ni nzuri kwani zinakupa harufu moja...
4 Reactions
19 Replies
9K Views
Habarini wandugu! Karibuni wapendwa,ninauza karanga zilizosagwa ali maarufu kama Peanut butter kwa bei nafuu ya shilingi 6,000/= tu kwa kilo. Kwa mawasiliano piga +255 621 002 220
0 Reactions
9 Replies
2K Views
kiwanja kinauzwaa urefu fut 50,upana fut 30, kwa sh.2000000 /= kamili Mazungumzo yapo. Kipo Mbande mbagala 0755155782 kwa mazungumzo zaidi.Pamoja na picha.
0 Reactions
2 Replies
967 Views
Habari wana Jf,mwenye kufahamu wapi naweza kupata spea mpya na original za gari aina ya Mitsubishi mini pajero cc650 auto transmission kwa hapa Dar es salaam atakua amenisaidia sna...natanguliza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…