CC 1490
KM 82000
IKO NA DVD MUSIC SYSTEM
FULL BODY KIT
SPORT RIM-LOW PROFILE TAIR
MOTOR VEHICLE INAISHA NOVEMBER PAMOJA NA INSUARANCE AMBAYO NI COMPRIHENSIVE...
GARI INAUZWA MLN 12
KWA MAWASILIANO...
Habari zenu wakuu
Nauza laini yangu ya uwakala wa Tigopesa bei 200000/=
Laini ina viambatanisho vyote muhimu kama tin number na leseni ya biashara ivyo unaweza kuibadili kua kwenye jina lako
Nauza...
Huna haja ya kuwa na hofu na usalama katika eneo la kazi au nyumbani kwako kutana na GS POWER INSTALLATION hawa ni wafungaji wa cctv camera na alarm system electric fence au fensi za umeme motor...
habari wadau..
chumba ma sebule kinapangishwa karibu na mabibo hostel.
karibu na shato point ( geti la mabibo hostel)
wanafunzi wa udsm, ma bachelor na wengineo mnakaribishwa...
kwa mnaohitaji...
It's all about Health and lifestyle
Am Terry, with good will I would like to introduce HELO product to you. HELO is the product that every one would like to have for him self/her self and the...
Ina vyumba vitatu vya kulala, viwili vikiwa na vyoo na mabafu ndani kwa ndani, sebure mbili jiko na store, kiwanja chake kina ukubwa wa mita za mraba 50 kwa 40. Ina uzio.Bei Tshs 80mil. Mauziano...
Nina eneo la ukubwa wa hekari 2 linafaa kwa makazi na si kilimo,lipo maeneo ya Kisemvule-Mpera wilaya ya Mkuranga,lipo barabarani kabisa usafiri wako binafsi unafika.
Bei 12 Milioni.
0712 318 315
Versatile & Spacious 14 Bedroom House for Rent Ideal for hostel or Charity / NGO housing projects – Rent $ 8000.
This versatile and spacious property includes 14 bedrooms, 8 bathrooms.
An...
Nauza mradi wangu wa M-PESA na AIRTEL money till zote kwa pamoja nauza 230,000 Tsh. Nauza sababu nina shida ya Pesa. Kwa wale wa Arusha na Kilimanjaro ntakuletea hadi ulipo: Nipigie au text 0764586354
Muda kama wa wiki moja iliyopita niliweka bandiko kwenye jukwaa hili pendwa kwamba Mzee wangu anauza viwanja vyake.
Wapo watu wamekuja kutazama lakini bado sijapata mtu ambaye amenunua zaidi ya...
Kampuni yetu ya Batman Transportation and Commission agent tunayofuraha kuwatangazia watanzania wote juu ya huduma tunayotoa ya Usafirishaji wa mizigo kwenda Dodoma, Urambo, Tabora na...