Genchi Member Aug 19, 2014 94 45 Mar 6, 2017 #1 Viwanja vinauzwa vikindu, Umeme na maji vipo, Ukubwa ni ft50×40, Bei ni mil.3 tu, Kwa maelezo zaid n.k 0714775566 Wote mnakaribishwa
Viwanja vinauzwa vikindu, Umeme na maji vipo, Ukubwa ni ft50×40, Bei ni mil.3 tu, Kwa maelezo zaid n.k 0714775566 Wote mnakaribishwa
darcity JF-Expert Member Jul 20, 2009 9,039 17,933 Mar 6, 2017 #2 Mkuu kwa hesabu hizo kiwanja kimoja kina meter 12.2m x 15.24m ni vidogo mno
moe junior JF-Expert Member Mar 7, 2014 902 916 Mar 7, 2017 #3 Mkuu mbona bikoni moja tu kiwanja kipo wapi hapo? Dah shida kweli aysee.... Sasa weka bikoni zilizobaki then tuwekee na vipimo in square metre
Mkuu mbona bikoni moja tu kiwanja kipo wapi hapo? Dah shida kweli aysee.... Sasa weka bikoni zilizobaki then tuwekee na vipimo in square metre
Bonde la Baraka JF-Expert Member Sep 22, 2016 4,580 7,944 Mar 8, 2017 #4 Do you know 50x40 ft. au umekariri kama mtoto wa madrasa tu?
thanksme Senior Member Jan 30, 2012 130 41 Mar 8, 2017 #5 Genchi said: Viwanja vinauzwa vikindu, Umeme na maji vipo, Ukubwa ni ft50×40, Bei ni mil.3 tu, Kwa maelezo zaid n.k 0714775566 Wote mnakaribishwa Click to expand... Vimepimwa
Genchi said: Viwanja vinauzwa vikindu, Umeme na maji vipo, Ukubwa ni ft50×40, Bei ni mil.3 tu, Kwa maelezo zaid n.k 0714775566 Wote mnakaribishwa Click to expand... Vimepimwa
Genchi Member Aug 19, 2014 94 45 Mar 8, 2017 Thread starter #6 Mpelengana said: Do you know 50x40 ft. au umekariri kama mtoto wa madrasa tu? Click to expand... Mkuu kama ukhitaji kujua uliza,,, busara ni heshima ni kitu cha bure,, Mm co mtoto mdogo kuandika kitu nisichokijua!! Dharau ktk kaz sipendi
Mpelengana said: Do you know 50x40 ft. au umekariri kama mtoto wa madrasa tu? Click to expand... Mkuu kama ukhitaji kujua uliza,,, busara ni heshima ni kitu cha bure,, Mm co mtoto mdogo kuandika kitu nisichokijua!! Dharau ktk kaz sipendi