Kitomai
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 1,063
- 299
Ina vyumba vitatu vya kulala, viwili vikiwa na vyoo na mabafu ndani kwa ndani, sebure mbili jiko na store, kiwanja chake kina ukubwa wa mita za mraba 50 kwa 40. Ina uzio.Bei Tshs 80mil. Mauziano serikali ya mtaa.Kuina piga simu namba 0784225000 kwa mali nyingine tembelea www.kitomai.com