Natafuta wateja wa kununua viwanja hivi

Anko Elly

Member
Feb 22, 2017
69
70
Muda kama wa wiki moja iliyopita niliweka bandiko kwenye jukwaa hili pendwa kwamba Mzee wangu anauza viwanja vyake.

Wapo watu wamekuja kutazama lakini bado sijapata mtu ambaye amenunua zaidi ya kupewa ahadi.

Nimeambatanisha picha za ramani ya eneo husika ambalo lipo Madale Flamingo karibu na kituo kidogo cha polisi nyuma ya kiwanda cha saruji Wazo.

Kwenye attachment kiwanja kilichowekewa X kimeshachukulia, vilivyobakia ni 44 kwa 25 na bei yake inaanzia milioni 20 mazungumzo yapo.

Kwa walio-serious mnaweza mkanicheki PM

Karibuni sana
 

Attachments

  • Ramani.jpg
    Ramani.jpg
    57.6 KB · Views: 90
  • VIWANJA MADALE.pdf
    359.2 KB · Views: 103

Similar Discussions

Back
Top Bottom