helow jf experts
do you need any programs
umetafuta software yoyote ukakosa?lakini unaiona kwa rafiki yako anaitumia?
nina uwezo wa kuextract any software from installed software on pc
the...
Ndugu wanajamii forum Salam. Naomba kuuliza mwenye ufahamu wa upatikanaji wa viwanja Dodoma mjini anijuze. Viwanja vilivyopimwa vinapatikana sehemu gani kwa bei gani nna ipi ni sehemu nzur kujenga...
OFA OFA OFA
Land cruiser model 1999
Full vibali
Haidaiw kitu chochote
Full ac
Haijawai kupata ajali
Mkoan pia tunakuleta kama tukielewana bei
Rim sports
Music system
1HZ engen cc 4100
Km 41091...
Jamani tikiti zimekomaa ninauza shambani bagamoyo, kiromo.
Karibu wafananya biashara mpate matiki safi toka shambani.
Kwa mawasiliano zaidi piga: 0742899694
Kipo Madale kwa Kawawa, kilometer moja kutoka Barabara ya Madale ilipo nyumba ya Mzee Kawawa.
Kina ukubwa wa hatua 25x25. Kipo kwenye makazi ya watu na kina nafasi za kutanuka kulia na kushoto...
used Samsung Galaxy note 5 kwa bei chee:
hii nilikuwa natumia mwenyewe, sasa naiuza kwa bei powa!
camera ni 16MP
storage ni 32GB
RAM 4GB
network ni 4G LTE
haina tatzo wala...
Amani iwe kwenu wana JF,
Tukiwa kama vijana wajasiriamali tumeamua kuanzisha mradi wa kuchonga na kuuza majeneza ya kisasa na kuyasambaza sehemu mbalimbali nchini na nje ya nchi kwa bei nafuu...
1.Kwa anayhitaji adsense Ac anicheki ,ni Mpya kwa Sh elf 50 tu Moja
-mbinu za kukuza RPM pamoja na mapato utapewa
-na namna ya kuepuka kufungiwa hovyo
2.Anayehitaji group la facebook Lina members...
Habari za sasa ndugu zangu?
Natumia wote wazima na mnaendelea vizuri na majukumu.
Mimi ni mzima na nashukuru Mungu,
Kwa kuniwezesha kuendelea na majukumu. Bila kupoteza mda twende moja kwa...
Aina ya friji: BOSCH
Milango : Miwili, juu na chini
Vipimo: Urefu 6.15f na upana 2.45f
Rangi : Nyeupe
Hali yake: Imetumika, inafanya kazi vizuri sana Mashaa Allaah. Juu inagandisha vizuri na...
Habari wakuu.
Nina ekari moja ya eneo lipo Mjini Morogoro, Kilomita 21 toka Msamvu stand kuelekea Dodoma, Kilomita 9 toka highway.
Sifa:Jirani zangu wanalima alizeti
Kuna kiwanda cha...