Nahitaji Sabufa

kingdadikati

Member
Dec 31, 2016
53
25
Habari za sasa ndugu zangu?

Natumia wote wazima na mnaendelea vizuri na majukumu.

Mimi ni mzima na nashukuru Mungu,

Kwa kuniwezesha kuendelea na majukumu. Bila kupoteza mda twende moja kwa moja kwenye lengo. Mimi ni kijana ninayehitaji kujipanga. Ninaomba kufahamishwa bei elekezi ya sabufa mpya kabisa.

Mbali na hilo ninaomba kufahamishwa bei za vitanda pamoja na masofa na pia TV maana mjini hapa pamejaa utapeli. Natumai ombi langu limeeleweka.

Karibuni kwa michango kaka zangu, dada zangu, baba zangu, mama zangu, babu zangu, bibi zangu na wengineo.

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom