Nahitaji kitanda 5X6

leon slim

JF-Expert Member
Sep 19, 2014
261
614
Nahitaji kitanda cha futi 5 kwa 6,bajeti ni tshs100,000.Niko singida,mwenye nacho ni pm tufanye biashara.
 
Singida na igunga au nzega hata mpaka Tabora kuna vitanda na milango tena kwa mbao mninga,mtondoo na mlingoti
Ushauri
Ni vyema ukajaribu kupata hiko kitanda kutoka maeneo hayo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom