Inauzwa Macbook Pro Os 10 Version 10.8.5
Processor 2.53 Ghz Intel Core i5
Memory 4GB 1067 MHz DDR3
Hdd 500Gb
Used
Haina battery. Charger ipo na inafanya kazi vizuri. Ukihitaji na battery tunaweza...
Afya njema ni moja kati ya vitu muhimu sana kwa mjasiriamali. Ni muhimu kujua jinsi ya kulinda, kuboresha na kurejesha afya yako ili ufanye kazi vizuri.
AFYA ZAIDI CONSULTANTS wanakusaidia kwa...
Wadau,kwa mwenye kufahamu ni wapi linapatikana soko la magamba ya konokono (shells)wadogo Wa Ziwa Victoria.Wasindikaji Wa vyakura Vya mifugo nadhani mnaweza kuwa na taarifa.
Wana jf,
Niseme kwamba kuna wapenzi, kuna waliooana au waliopo kwenye mahusiano pindi wakiwa wamelala wengine hugeukia ukutani au upande mwingine kwa sababu mwenza akipumua hewa inayotoka puani...
Wadau natafuta laptop yenye gharama ndogo kwa ajili ya mdogo wangu wa kike! Iwe na hali nzuri kiasi, budget TZS 200,000/=
Ntapata?
Niwekeeni na picha hapa hapa au PM,
Ila Hapa hapa itakuwa...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Je ni sehemu gani naeza pata mtu wa kuni printia business cards au tshirts nilizo design!!? Je gharama ni shilingi ngapi kwa pc 50 na zaidi??
Kiwanja chenye msingi Wa Gorofa kama inavyoonekana kinauzwa M 30 Kipo Shangarai Arusha .
Eneo lina ukubwa Wa 30 kwa 30 kama l inavyoonekana kwenye picha lipo barabarani . pm kwa mawasiliano .
Nahitaji laptop aina ya hp. Iwe na Ram 1GB na kuendelea Storage GB 80 na kuendelea, processor 2 hgz na kuendelea. Offer 200000 hadi 250000/ kama unayo nipm.
habari wana jf!
Leo ninawaletea sanaa ya kupaka rangi ukuta kwa kutumia patterns na kuuachaa ukuta wako unapendeza zaidi ya wallpapers.
Utahitaji rangi tu na stencils ambazo sisi tunazo...
Tunauza mbao fupi za dawa zenye kudumu kwa muda mrefu na zisizo weza kushambuliwa na wadudu waalibifu
Pia itakuepusha na utapeli wa futi kwani mbao hizi ni bora sawa na zile ndefu za kupima...
Habari za mihangaiko wadau
Bila kupoteza muda wakubwa na wadogo zangu mimi kama kijana mwenzenu naomba msaada
Kwa yeyote anayemjua mfugaji wa kuku wa mayai anifahamishe. Kinachohitajika ni...
Gari mojawapo Kati ya hizi inahitajika haraka sana
Runx, Alex, OPA namba C na namba D ndo priority. Bei iliyopo ni 6M but itaongezeka kulingana na ubora wa mkoko husika
Wakuu habari za mida
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, nahitaj piki piki (boxer) iwe kwenye hali nzuri ...bei=maelewano
Mwenye nayo WhatsApp/call 0622070789 au dondoka hapa chini
Wakuu Asylum Aleku
Nauza nyumba ipo mbezi msakuzi dsm
Ina vyumba vitatu, 1master, public toilet
Ukubwa wa eneo robo heka na zaidi
Nyumba ina tiles yote, bati m'south
Kuna hati ya makazi...
Habari wana JF kwa yoyote aliemaliza Diploma au Certificate ya Information Technology au inaofanana na hiyo anaeishi Dar Es Salaam na hajapata kazi naomba awasiliane moja kwa moja 0712 212 220...