Habar wana JF mm ni kijana niliejikita kwenye kilimo cha vitunguu maji ndo mara yang ya kwanza kulima lkn nashukuru Mungu vimeenda vzur na vipo katika hatua ya mwsho je ntapata wap masoko mashamba...
Samsung SGH TABLET ipo katika hali nzuri sana inasoma 4g ni american tablet ukubwa wake ni nusu kioo cha laptop kwa urefu na upana, Inaingiza laini, Ina firewall, Ina 16gb internal, Ina uwezo wa...
Habari wakuu husika na kichwa tajwa hapo juu karibu tukuuzie viwanja katika project ya SOMANGIRA iliyopo kigambon
Viwanja na Maelezo yake nitaatach kwa Maelezo zaidi nichek WhatsApp 0763772636...
Msaada kwa mwenye ramani soft copy au picha ya ghorofa moja ambayo chini ni frem za maduka na juu ni matumizi mengine anitumie kwenye email yangu lyatuujudicate84@gmail.com.
CCC LTD,inawakaribisha Watanzania wote kwenye mradi wa uwezeshaji ktk sekta ya Makazi. Sera yetu ni kufanikisha upatikanaji wa Makazi kwa njia rahisi kwa watu wengi wa kipato cha chini kati na...
Katika kipindi hiki cha sikukuu ya pasaka.. Mwenye uhitaji wa kuku mmoja au au zaid ya hapo kwa lengo la kuenjoy mwenyewe au biashara... Baaaas toa order sasa ili upate kuku walio nona na wenye...
Habari wana jf?
Nilikuwa nimeanzisha ka mrad kakufuga nguruwe, nna nguruwe wakubwa wa tatu. Na watoto wao wenye miezi 4. Nnawauza wote kwa pamoja! Bei ni maelewano tu. Eneo nnapofugia ni kbaha...
Kipo Madale kwa Kawawa,
Kina ukubwa wa Meter 20x20. Kipo kwenye eneo lililopimwa kwajili ya makazi ya watu. Kinafikika kirahisi kwa gari na umeme umefika. Bei Shilingi Milioni Sita na na laki...