Nyumba tatu zilizojegwa kwenye kiwanja kimoja zinauzwa 40,000,000/-

Siza Agropro

Senior Member
Oct 2, 2016
114
149
Nyumba tatu zilizojegwa kwenye kiwanja kimoja eneo la Iwambi Mbeya chenye ukubwa wa 1,800sqm zinauzwa zote Kwa gharama ya,
IMG_20170204_172646.jpg
 
40000000/_ ndiyo stahiki lakini 400000000/_kama siyo prime kwa mbeya ni vigumu . kwa muonekano finishing ya hizo nyumba utahitaji 80m. za ziada
 
mkuu toa specification zaid, mf kila nyumba ina vyumba vingapi? je eneo limepimwa? au ndo vile viwanja vya kujikatia wenyewe?
Kila Nyumba in vyumba vitatu na viwili ni self,Ina seating Na Dining jiko Na stop yake ndogo Na choo kimoja cha public,, kiwanja kimepimwa Na kina hati,milango yoote imeshafungwa Na madirisha yamewekwa grill, maji nimeshavuta Na Umeme huhitaji kununua Nguzo,k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom