mariah clement
Member
- Mar 28, 2017
- 14
- 17
Habar wana JF mm ni kijana niliejikita kwenye kilimo cha vitunguu maji ndo mara yang ya kwanza kulima lkn nashukuru Mungu vimeenda vzur na vipo katika hatua ya mwsho je ntapata wap masoko mashamba yapo Mbeya-ilongo.asanteni