Natafuta kioo Samsung j2

Natafuta kioo cha mini laptop 10inchi. Ofa yangu ni 20,000/- kama mini lapotop yako imekufa, niuzie hicho kioo chake.
 
Kama upo Dar nenda K'koo maeneo ya mitaa ya Aggrey pale karibu na kanisa la KKKT kuna jamaa anaitwa Daudi huwa anauza sana hizo vioo vya simu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom