kiwanja
~Kiwanja kinauzwa Maeneo ya Kimara Mwisho(Matosa) kina Mita 15(upana) Mita 30 (Urefu) Bei ni Shs Million 10 Umeme,Maji na mahitaji mengine yapo....
Maongezi ya Bei yapo
Mawasiliano 0713...
Mandhari tulivu na sehemu ya kutengenezea historia ya maisha yako,ukumbi unachukua hadi watu 500, Karibu sana tunapatikana Bahari Beach, kwa Tshs 1,500,000/=
Follow kwa ofa na matangazo yetu...
Ninauza nyumba ipo keko mwanga MSD..haijaisha vizuri ila ina wapangaji wawili..kama ikimaliziwa itakuwa na vyumba 6 na frames 2..ni eneo la makazi ina leseni kabisa..nina shida ya dharura...
Nahitaji mawe trip zaidi ya 50 Dar siku ya leo, kesho na Jumamosi.
Kama unazo njoo inbox.
Kupakia na mawe yenyewe yasizidi laki moja gari ni kubwa mwisho wa mawasiliano saa tano.
Dear Clients and supporters,
Greetings from Mikono Speakers International.
As we are all excited and getting ready for the World Sales Conference we cannot help but to share the good news with...
Make : Toyota
Model : L/Prado
Mileage : 176,860km
Engine size: 3,400cc
Gasoline : Petrol
Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. )
Transmission : Automatic
Drive : 4WD (FOUR WHEELS DRIVE)...
Tuna fanya Programming ya funguo za magari zinazotumia sensor(transponder) na smart key(keyless or push to start key).kwa magari aina zote yaani TOYOTA,VW,BMW,FORD nk. Kama unahitaji funguo ya...
Habari,
Natafuta shamba la kununua maeneo ya kibaha (eka tano), sifa la shamba;
1. Liwe mbali na makazi ya watu (isiwe too much) kwakuwa nataka kufugia nguruwe
2. Liwe jirani na maji...