Natafuta mlango wa DVD ya laptop lenovo g 580

Natafuta mlango wa DVD ya laptop lenovo g 580

PastorA

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2016
Posts
361
Reaction score
275
Wakuu nahitaji kwa sasa kununua mlango wa dvd rom laptop yangu ni Lenovo G 580, ila sina
Njoo PM
 
Kama unaongopa kuwa mende wataingia kwenye Lenovo yako, pale kwenye mlango siliba na magazeti. DVD ya nini siku hizi kuna teknolojia ya flash, wire less, blootooth na internet?
 
Back
Top Bottom