Mkuu weka picha zikionyesha maeneo yote muhimu.Gari ni nzuri kabisa iko Arusha Mjini.
kuwasiliana tuma sms 0620555777
Acha kufanya biashara kijeuri.... Ungekuwa unauza brevis au mak X.... Kwa tabia yako ungepiga picha matairi tu... Jiuzie mwenyeweee umnunulie mkeo kama vipinime upload iyo moja inatosha
Ndio matatizo ya kuuza gari huku bado unaipenda, weka specifications za hiyo gari na picha za kutosha mkuu