Nataka kununua Shamba ikwiriri

khalifa awe

Senior Member
Sep 21, 2016
147
31
Wanajamvi habarini. Nataka kununua shamba maeneo ya ikwiriri eka zisizopungua 55 nataka kwa ajili ya kilimo cha ufuta au mihogo nitapata? Na ni bei gani kila eka? Kisha in zao gani mnanishauri kulima zaidi ya ufuta na mihogo maeneo hayo?
 
Bati mbaya ninazo ekari 4 , zipo Ikwiriri ninaziuza wewe unataka 55. Na rafiki yangu pia anazo 4 anaziuza pia pia.
 
Watu wa kule bado hela hawajaijua sana miaka 2 iliyopta bro wangu alinunua heka kwa laki4
 
Nitafute cuz tulipataga hela 2014 mm na rafiki zangu 2 tukaenda Ikwiriri kupata ardhi kuiendeleza imetushinda inapita idadi unazozitaka, zimefyekwa zote tayari bei @400,000/=na kunazenye miti yake yaani hazijafyekwa @300,000/=mazao ambayo tuliyalima ni matikiti,ufuta,mbaazi,choroko,mihogo,mikorosho,miembe,pention, nk. 0657257509 kwa maswali zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom