Salam wakuu.
Kama kuna mtu anahitaji kutengenezewa website safi ya kisasa na inayofunguka kirahisi kwenye simu(responsive) kwa bei cheap ya tsh 120,000/= tu niibox tufanye kazi.
Hiyo gharama inajumuisha:
1.Web hosting mwaka mzima (ambayo kwingine utalipia zaidi ya laki)
2. Domain name registration fee (kusajili jina la saiti yako ICANN)
3. Web design- kazi yenyewe ya kudesign saiti (gharama ya kudesign)
4. Premium theme. Tunatumia theme za kisasa zinazoruhusu kudesign full width website na ambayo tumeshalipia.
5. Website blog yake.
6. maintenance mara kwa mara
Mfano tembelea hapa
www.heritagesafaristanzania.com
nimekutumia mkuuNipe number yako inbox
Mkuu hongera sana kwa hii ofa yako.
Nitakutafuta baada ya kama 30 days hivi.
Ukiona kimya usisite kunijulisha.
Hatimaye kuwa na website imekuwa sio kitu ya gharama tena.
Mkuu unazo kazi ambazo umeshafanya? Kama zipo naomba utuonyeshe ili tuone ubora wa kazi zako Imani2
Mwaka huu hakuna ofaSalam wakuu.
Kama kuna mtu anahitaji kutengenezewa website safi ya kisasa na inayofunguka kirahisi kwenye simu(responsive) kwa bei cheap tu niibox tufanye kazi.