Salaam Wana JF
Wakuu nahitaji kupata soko au mtu ambaye ananunua simbi kwa wingi sehemu yoyote ile nitampelekea.
Simbi ni miongoni mwa bidhaa za baharini ambazo hutumika kutengenezea vyombo vya kaule kama sahani, bakuri n.k
Mwenye kufahamu ani PM
Kwa hapa nilipo sina picha labda kwa baadae kidogo nitaziweka.Tuwekee picha.
Simbi nijuavyo ni zile kete za kuchezea bao (labda nipo wrong).