ELECTRONIC BEI RAHISI KUTOKA ZANZIBAR

alsam

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
213
268
JIPATIE BIDHAA ZIFUATAZO KWA BEI RAHISI KABISA KUTOKA ZANZIBAR.

1. TV Flat
Inch 32 Aina Star X zenye King'amuzi bei 350,000
Zipo Inch 40,50 na 55

2. Passi Philips bei 32,000/=

3. Rice Coker kilo 1.5 bei 50,000/=

4. Blender Bei Elf 50

5. Jagi la kuchemshia maji Bei Elf 25 Used.

6. Friji na Freezer za kila bei

Kwa wakaazi wa Dar Utaletewa mpaka Ulipo.

Usafiri NOT INCLUSIVE ila unapatikana wa Uhakika

Kwa Msaada na Maelezo Zaidi contact us

0674 616234

f677c30bdca3d17e7ef2a913fa9374a2.jpg
20170507_132233.jpg
20170507_132242.jpg
20170507_120910.jpg
20170507_132319.jpg
20170501_165509.jpg
20170501_165431.jpg
 
Hiyo pasi ni Original??

Mkuu hata mimi nilitaka kuuliza swali hilo hilo, pasi hizo za Philips actually zinatoka Indonesia ingawa zina nembo ya Philips labda kama zinakuwa assembled under license lakini za Ulaya hazifanani hivyo hata siku moja.
 
Utanunua kwa bei rahisi huko Darajani au Kichangani Zanzibar tatizo litaanzia kwenye usafiri na kisha Ukifika bandarini pale kuna meza ya TRA kisha TPA nao wanakulipisha kodi.
Hapo ndipo utajua kuwa Zanzibar ni nchi ya nje na ni rahisi kupita na mzigo airport kuliko bandarini.
 
Tutakuletea Mzigo mpaka kwako usafiri hauna shida
 
Mkuu hata mimi nilitaka kuuliza swali hilo hilo, pasi hizo za Philips actually zinatoka Indonesia ingawa zina nembo ya Philips labda kama zinakuwa assembled under license lakini za Ulaya hazifanani hivyo hata siku moja.
20170507_172501.jpg
 
Brenda ya kusaga juisi ya karot na vitu vingine vigumu Tsh.ngapi, ,,,,nna nyumba ndogo yangu inaitaji hapo hapo Dar
 
Back
Top Bottom