Magari haya yanauzwa kwa bei poa

Magari haya yanauzwa kwa bei poa

ASHA NGEDELE

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
784
Reaction score
327
Habari wadau,

Kwa yeyote mwenye uhitaji wa magari hayo hapo chini au any new car njoo uni private message nkusaidie. Bei zote zina maongezi

2004 Toyota Raum
Low mileage (65,000km)
Jst registered - Comp Insurance
Tairi na Rims mpya
Injini: 1490cc
Bei: 11.5m (Includes Transfer)
2015-03-13_11.46.00.jpg 2015-03-13_11.43.33.jpg 06.jpg 07.jpg

2003 Toyota Raum
Low mileage (34,600km)
Just arrived
Injini: 1490cc
Bei: 11.0m (Includes Transfer)
01.jpg 04.jpg 05.jpg 06.jpg

2005 Toyota IST
Low mileage (60,000km)
Just arrived
Injini: 1290cc
Bei: 12.0m (Includes Transfer)
01.jpg 03.jpg 04.jpg 05.jpg

2004 Toyota Sienta
Low mileage (65,000km)
7-Seater
Injini: 1490cc
Bei: 9.5m (Includes Transfer)
01.jpg 02.jpg 03.jpg 05.jpg
 
Tunataka utuoneshe magari sio usafiri, huo ipuuzi ulioweka hapo ni usafiri, huwezi kuita gari.

Oh! Kumbe kuna ''gari" halafu kuna "usafiri". Nisaidie niijue tofauti. Hapana shaka utakuwa umetusaidia wengi.
 
Hahahah,
Asha Ngedele leo umepatikana.
Haya hembu wajibu jamaa hao.
Pia jitathmini bei,na je ni yapo hapa Dar au ndio zile issue za kuagiza ukilipa
 
Tunataka utuoneshe magari sio usafiri, huo ipuuzi ulioweka hapo ni usafiri, huwezi kuita gari.

Acha dharau mkuu, kama unataka magari ofisi za Toyota nitakuelekeza uende. Hizi ndio gari ambazo sie wenye uwezo wa chini tunatumia wewe tajiri nenda Toyota
 
Hahahah,
Asha Ngedele leo umepatikana.
Haya hembu wajibu jamaa hao.
Pia jitathmini bei,na je ni yapo hapa Dar au ndio zile issue za kuagiza ukilipa

JF ina mambo sana, usikute huyo bwana hapo juu hata Passo hana alafu analeta dharau
 
Raum yenye Sports Rims ishauzwa.

Bei zote maelewano, nipigie tufanye biashara
 
Hizi gari bei poa sana kwa gari ambazo ni imported, Utauza tu kaka
 
Wa Tz tunapenda starehe sana kuliko kazi, upuuzi gani huu unatuletea?leta Gali za kazi kama vile, Hiece, coaster, fuso,watu tufanye kazi,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom